[Video] Wachanganuzi 'feki' wawakosha mashabiki mtandaoni

Muhtasari

• Wachanganuzi wa kandanda wawakosha mashabiki kwa mtindo wa shughuli yao.

Ngolo Kante
Ngolo Kante
Image: Super Sport

Wachanganuzi wa mpira wa miguu huko Tanzania wamewakosha mashabiki mitandaoni kufuatia mbinu yao ya kudadisi na kuchanganua kabumbu.

Wanamitandao wengi walisema kwamba hao ni miongoni mwa wachanganuzi ambao hawana maelezo ya kina ila wanatumia mbinu za utani kuwasilisha ujumbe wao.

Je unawafahamu wachambuzi gani humu nchini ambao unaweza kuwafananisha na hawa?