Nataka mimba! Mtu ajitokeze- Akothee afichua uchu alionao wa kupata mtoto

Mwanamuziki Akothee  ana watoto watano sasa lakini hajatosheka na iwapo uko tayari kumpa uja uzito basi jitokeze haraka.

Katika chokozi zake za mitandaoni, Akothee amesema  kwamba anakosa sana  kuwa mama ya mtoto mchanga na kando na  taalum yake katika muziki na biashara, Akothee amefahamika sana na wengi kwa kuwa mama mzuri kwa watoto wake, wasichana watatu na wavulana wawili .

Licha ya majukumu hayo yanayoweza kuonekana kumsakama Akothee amesema yuko tayari kupata mtoto mwingine!

Maajuzi, Akothee amesherehekea birthday yake ya kutimu umri wa miaka 40 na bado hajatosheka na idadi ya watoto wake. Katika posti ya kuchekesha alioweka katika mitandao yake ya kijamii   Akothee ameandika ;

 “I just want to get pregnant right now, Uwii my ovaries, I miss this feeling, because I can’t see myself traveling or performing anywhere any soon with this Corona ”  aliandika

However, Madam Boss has one condition for the man willing to make her pregnant; you make her pregnant, go your way.

“Sorry you can’t stick around, I don’t want stress . Babies are sweeeeet” aliongeza

 

Wengi walioonekana kushangazwa na matamanio hayo ya Akothee na wakampa majibu chini ya posti yake ;

thee_poor_tycoon kazi ni ball tu alafu niende na venye unakaa mtamu ivo

alexander_heist._ Bora afanane na mm siyo mtu mwengine

selemanitunda Mimi nipo tyr ila ipite ramadhan

ismail.nguru ea babies are sweet the best gift from God..

kevin_alunga Hapa ndio unatoka na triplets