Si ungetumia njia ya kawaida kunyoa hizo vitu! Wanawe Akothee wamkejeli

Wanawe Akothee, Rue Baby na Vesha wamemkejeli  ni kwa nini aliamua kutumia mbinu tofauti ya kuosha kisima cha asali wakati huu ambapo watu wengi wametulia na kusitisha shughuli za usafiri.

Yote hayo yanatokana na hatua ya Akothee kuonekana kama ameshindwa kutembea na mwenye mwasho mkali ulikuwa unatokea karibu na kisima cha asali.

Katika video alitoituma kwenye mitandao yake ya kijamii, Akothee analalamika kuwa kifaa alichokitumia kusafisha eneo hilo la utamu si kile alichokizoea kukitumia.

“This wax was not what I asked for, I don’t know if they grew thicker after two months.” Alisema Akothee.

Katika video hiyo, wanawe wanaonekana wakimchekelea na hata kumdhihaki kutokana na hatua aliyoichukua wakati huu.

Wanamwarifu kuwa serikali imeongezea siku zingine 21 za kufunga shughuli katika baadhi ya mitaa nchini.

They have added 21 days of lockdown, who are you waxing for? Don’t show us pain, we don’t want pain in this house. We need positivity. We need something to keep us alive.walisema wanawe

Akiulizwa na Vesha ni kwa nini hakutumia njia ya kawaida kunyoa nywele zinazofunika kisima cha asali Akothee alisema hivi.

‘I am waxing for myself. I  like waxing to make me clean.’

Mcheshi Erick Omondi baada ya kuiona video hiyo alikuwa na haya ya kusema.

“Baby send nudes.”alisema Omondi

Tazama video yenye hii hapa