Ukahaba sio dhambi! Mahakama ya Nigeria yasema

kahaba
kahaba
Jaji wa mahakama kuu katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja, amewapa wanawake elfu 16,000 za Nigeria (naira) au ($ 275) kila mmoja baada ya uamuzi kwamba kukamatwa kwao mwaka wa 2017 kulikuwa ni ukiukwaji wa haki yao ya faragha.

Hii ni sawa na jumla ya Sh444,000 kwa wanawake wote 16. Inaaminika kuwa wanawake hao walifungwa kwa sababu walishtumiwa kuwa makahaba.

Mahakamani, Babatunde Jacob ambaye ndiye alikuwa wakili wa wanawake hao, alisema kwamba kazi ya kufanya ukahabba haijawahi tambulika kama uhalifu, Nigeria.

Jacob also argued thatwas a violation of their "dignity... and right to private life", a summary of the judgement says.

Jacob pia alisema kwamba ""the act of pulling down the doors of the applicants [and] indecently searching them was a violation of their dignity... and right to private life" , muhtasari wa uamuzi unasema.

Jaji Binta Nyako alisema haki za wanawake chini ya katiba zilikuwa zimekiukwa.

Katika utetezi wao, viongozi walidai kuwa wanawake hao walikuwa wamefungwa kizuizini baada ya kukiuka sehemu ya sheria ya mazingira ya Abuja, uamuzi unasema.

But Justice Nyako said constitutional rights overrode the local regulations.

She did not, however, specifically state that sex work was not a crime.

Lakini Jaji Nyako alisema haki za kikatiba zinapita zaidi ya kanuni za mitaa.
Hakusema, hata hivyo, kuwa  kazi ya ukahaba ni hatia.