maxresdefault_2__1571922500_54303 (1)

UNO ya Harmonize yazua utata kwa Diamond na Zari (+ Video)

Uno ya Harmonize imewataja mastaa kibao akiwemo Ray, Diamond, Fally Ipupa na Gwajima.

Aidha baadhi ya mstari mle ndani inaonekana kumlenga Zari The BossLady.

Harmonize anasema kuwa Uno la Diamond limemkondesha Zari.

View this post on Instagram

Worldwide Sound 🎵 Link Pa Bio @kondegang

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz) on

Staa huyu hajaweza kutokea na kusema limemkondesha vipi.

Hii ni ngoman ya kwanza ya Harmonize chini ya lebo yake ya Konde Gang.

Nyimbo hii iliyoachiliwa masaa chache inasifia maungo ya wanawake ‘Kiuno’.

Audio ya wimbo huo imefanywa na maproducer wawili ambao ni HUnter na Bonga.

 

Photo Credits: Abraham kivuva

Read More:

Comments

comments