Terryanne Chebet na bintiye wawasha mtandao kwa wimbo wa muigo wa Hallelujah (video)

Terryanne Chebet na binti yake Imani wamedhihirisha talanta yao fiche kwa kufanya collabo  ya wimbo   Hallelujah .

Wimbo huo  uliimbwa mara ya kwanza na msanii wa Canada  Leonard Cohen  na umeimbwa sana na watu wengi duniani .

https://www.instagram.com/p/B-m8UathyP0/

Imani  alionyesha  weledi wake wa sauti  kwani mashabiki wengi walivutiwa na  juhudi zake

Mtangazaji wa NTV Smriti Vidyarthi  ni miongoni mwa waliopagawishwa na wawili hao na kuandika ;

“Wow! Such beautiful voices. I knew your daughter had a great voice, but I’m taken aback by yours Terryanne. Absolutely love it! This really made me smile. I wish I could sing like that.”

Video hiyo ilitazamwa na zaidi ya watu 45,000  katika muda wa saa 15  na baadhi ya maoni ya waliotazama ni haya hapa

misspretty_jo1 Imani has a very beautiful voice

kendipaula Lovely

celinekeko Beautiful

kennedyouke Talent mmehide tu….yawa . Niiiceeee….

agnetaagoya96 Amazing voice. Eeh both of you can sing well. Continue with that spirit. Congratulations

wanjiragitonga Golden

miss_myudneey You really are enjoying this quarantine season

ingrid_nantege I needed this