Wapelelezi kuvamia nyumba ya Echesa kutafuta hati za kesi iliomkumba

Wapepelezi wa DCI hii leo wamevamia nyumba ya aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa katika eneo la Karen ili kutafuta hati ambazo zinadaiwa ni za kashfa hiyo.

Wapelelezi hao kutoka kwa Economic Crimes Unit, walikatazwa kuingia katika nyumba hiyo, baada ya masaa machache iliwalazimu kuingia kwa kutumia nguvu huku wakipitia kwa ukuta ili waweze kuingia ndani.

Haijabainiwa kama Echesa alikuwa nyumbani wakati huo wapelelezi hao walizuiwa kwa muda mrefu.

Mengi yafuata;