2020?: Harmonize atoa dhabihu ya mbuzi 4, sababu zatolewa

Hivi sasa sio jambo la kawaida kuskia kuwa kuna watu ambao huchinja mifugo kama dhabihu, lakini msanii wa Bongo, Harmonize Harmonize bado ni jambo yeye hufanya hadi wa leo.

Takriban mwezi mmoja uliopita, msanii huyo wa zamani wa kundi la Wasafi alichinja mbuzi wanne hadharani katika uwanja wa Matogoro.

Basi imebainika mbona Harmonize alitoa dhabihu.

Alihitaji usalama na alihitaji kupata kuskizwa na kuonekana na miungu ili aweze kutoa ombi lake la maombi na ndio maana akatoa dhabihu ya mbuzi.

Harmonize alichinja mbuzi kama njia yake ya kutolea miungu wake dhabihu.

Wazee wa enzi za kale waliamini kuwa ukimchinja mbuzi na avuje damu nyingi lazima mbuzi yule atafariki.

Kufanya vile basi kunaashiria kutoa 'roho' yako na kumaanisha kuwa damu inavyo vuja kutoka kwa mbuzi badi hivyo ndivyo maisha yake hupotea.

It can be the life of a cow, goat or a human the more the pain the more the value of the sacrificing you are giving.

Inaweza kuwa maisha ya ng'ombe, mbuzi au mwanadamu kwani maumivu zaidi yanaashiria thamani ya dhabihu ile unayotoa.