Mahakama yakataa kuhalalisha mapenzi ya Jinsia moja

mashoga
mashoga
  Mahakama imekataa  kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja  kwa kutupilia  mbali ombi la watu wa jamii hiyo waliotaka sheria inayoharamisha uhusiano  wa mapenzi ya jinsia moja nchini kutajwa kuwa inayokiuka  katiba .Walalamishi wamedai kwamba  kipengee cha 162 kinachotoa adhabu kwa wanaoshiriki mapenzi ya jinsia  kinawabagua .

Mahakama imesema hakuna kati ya walalamishi aliyewasilisha ushahidi wa kubaguliwa kwa kunyimwa  huduma za afya au kubaguliwa kwa msingi wa  jinsia wanayopenda .