Ahsante kwa kuwa shabiki na mume! Wahu amwambia Nameless

Wakiwa wameona kwa zaidi ya muongo mmoja sasa, Wahu na mumewe Nameless wangali miongoni mwa watu maarufu nchini ambao kando na umaarufu huo, ndoa yao imesimama tisti.

Wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya kusherehekea baba ulimwenguni kote, Wahu alichukua muda wake na kumshukuru mumewe Nameless kwa kuendelea kuwa nguzo muhimu katika maisha yake.

 “Thank you for being both a fun and firm, for intentionally learning how to listen from the heart & without judgment, giving guidance and discipline with love, being strong enough to show your weaknesses. You’re an amazing dad @namelesskenya and the girls are blessed and fortunate to have you!! I see & appreciate your sleepless nights and hustle because I know what’s at the heart of it. Words arent enough to express how much we love you!! ❤❤❤❤❤. HAPPY FATHERS DAY BABA GIRLS!!!”  Wahu

Alichukua fursa hiyo pia kuwasherehekea wazazi wengine wa kiume ambao wamekuwa mfano mwema kwa familia zao.

HAPPY FATHERS DAY TO ALL YOU AMAZING DADS OUT HERE DOING YOUR BEST TO RAISE YOUR KIDS!!