64701607_143761613383654_5739028629535329406_n (1)

Akothee na Zari kuandaa kongamano la wanawake hivi karibuni

Akothee na Zari wanapanga mkutano wa wanawake mjini Mombasa mwezi ujao.

Wawili hawa wako tayari kuzungumzia walichopitia kama akina mama na wanawake wenzao.

65276228_350189815658814_5328077824877019907_n (1)

“Tuko hapa kuonyesha mfano mzuri wa kuishi maisha baada ya kuvunjika.” Akothee alisema

Hatuko hapa kuunda maisha ya watu, kwa maana hatujui asili zao na shida wanazopitia.
Akothee alisema kuwa mkutano huo utakuwa na wasemaji wa eneo hili na wa kimataifa.
Lengo lao kuu ni kuimarisha roho za wanawake na kuwafanya wajue thamani yao na kuwa tayari kukabiliana na changamoto zinazowakumba.
Baadhi ni picha zao,
65914569_2281816575205063_3854649482001154590_n
64591579_2373025736308601_1453847120337588469_n
65311993_2353331394710592_4458311379992315990_n (1)

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments