AUDIO: Walemavu wataka kuhusishwa katika uundaji wa bajeti

Picha kwa hisani ya: beyondisability.org

Serikali za kaunti zimetakiwa kupitisha miswada ya kuwawezesha walemavu kuhusishwa katika uundaji na utekelezaji wa bajeti za kaunti.

Darius Kinusa kutoka kwa muungano wa walemavu anasema kuwa walemavu wamesalia nyuma katika kuchangia ukuaji wa uchumi wa kaunti kutokana na kubaguliwa katika zoezi hilo muhimu.

Huyu hapa Darius Kinusa:

&feature=youtu.be