Bahati ampa kongole Diamond na Tanasha

Mwanamziki maarufu nchini Bahati ni baadhi ya wasanii waliompa kong'ole Diamond Platinumz na bibiye mtarajiwa Tanasha baada ya wawili hao kutangaza kuwa wanamgoja mtoto ndani ya miezi miwili ijayo.

Mwanamziki maarufu nchini Bahati ni baadhi ya wasanii waliompa kong'ole diamond platinumz na bibiye mtarajiwa Tanasha baada ya wawili hao kutangaza kuwa wanamgoja mtoto ndani ya miezi miwili ijayo.

Wawili hao walitoa taarifa ya mtoto wao wa kiume anayetarajiwa kuzaliwa miezi mbili ijayo kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa yake Tanasha na Mamaye Dangote. Bahati aliongoza wasanii wengine kumpa kong'ole kiongozi wa wasafi records,Diamond Platinumz.

 

bahatikenya

Let's CONGRATULATE @tanashadonna as She's about to give Birth to Babyboy🌟. Brother @diamondplatnumz I See Hulaliii You're Following my Footsteps 🤣👏👏👏 CONGRATULATIONS.

harmonize_tz

Best Of All ....!!!!! Best Couples ❤❤❤ More Life My Boss 👸 @tanashadonna