Betty Kyallo: Sijaenda Dubai !

BK
BK
Mtangazaji wa zamani wa K24 Bett Kyllo amekanusha ripoti katika twiter kwamba ameenda Dubai baada ya  mkoba fulani kuonyeshwa katika picha ya viongozi wawili wa ODM  Junet Mohamed na Hassan Joho wakiwa katika ndege kwenda Dubai kumuona kiongozi wa ODM Raila odinga .

https://www.instagram.com/p/CCbIsw4j_jB/?igshid=jv65ur1g52oj

Kupitia  video fupi katika instagram Betty alisema kwamba hajatoka nchini na wakati huo alikuwa akienda kupata chakula cha mchana na hata kuthibitisha hilo kwa kumuangazia mwenzake wa kike waliyekuwa naye garini .

Baadaye picha ya mmiliki wa mkoba huo ilitolewa ili kuzuma uvumi kwamba huenda Betty Kyallo alikuwa kaandamana na viongozi hao kwenda Dubai