Boniface Mwangi awalaumu maaskarai wa kaunti kwa kutatiza tamasha ya Eric Wainaina.

Mapema asubuhi ya leo Boniface Mwangi aliandika ujumbe wa kutisha katika mtandao wa Twitter kuhusu tamasha iliyotarajiwa kufanyika huko The Elephant. Boniface alidai kuwa maafisa wa kaunti ya Nairobi walivamia tamasha hiyo licha ya wao kuwa na stakabadhi zote za kuwaruhusu kufanya tamasha hiyo.

Ujumbe wake katika mtandao wa Twitter;

We are currently at Central Police Station. Governor @MikeSonko Askaris raided @EricWainaina's fully licensed concert at The Elephant, assaulted @shebahirst and arrested three concert attendees and a photographer who tried to film the arrest. @NziokaWaita @wmnjoya

Haya hapa baadhi ya majibu hayo aliyopata baada ya kuchapisha ujumbe huo;

Anaida Serrao; The people at @NemaKenya acted beyond their power. People were carrying away a speaker and were unprovokedly strangled and arrested by NEMA goons. On what grounds did you arrest and strangle him? For carrying away HIS property?

Anaida Serrao; Concert equipment was also being manhandled by @NemaKenya despite the calm promise by @EricWainaina to show them his license for the event.

Mr. kimetto; Not forgetting one of them punched a woman