BREAKING NEWS:Rais Kenyatta afanya mageuzi katika baraza la mawaziri

 Rais Uhuru kenyatta leo ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri na kutekeleza mageuzi kadhaa katika muundo wa serikali .  Idara kadhaa zimehamishwa na kuweka ktika wizara nyingine  . Baadhi ya mageuzi hayao ni yafuatayo

Mutahi Kagwe- waziri wa Afya

Betty Maina – waziri wa  Viwanda

Raychelle Omamo – waziri wa Mashauri ya Kigeni

Sicilly Kariuki – waziri wa Maji

Peter Munya –Waziri wa Kilimo

Monica Juma – waziri wa Ulinzi

Simon Chelugui- waziri wa Leba

Ukur Yattani –waziri wa Fedha

Rais  Pia maewahamisha makatibu wa kudumu katika baraza lake la mawaziri .

John Weru  -PS Wizara ya Biashara

Juan Ouma  PS Wizara ya Mafunzo ya anuwai

Mary Kimonye   -PS  Utumishi wa umma

Simon Nabukhwesi -PS Elimu ya vyuo vikuu na utafiti

Solomon Kitungu –PS  Uchukuzi

Enock Momanyi Onyango –PS Mipango ya  Majengo

Joe Okudo –PS Michezo

Chris Kiptoo –PS  Mazingira

Kevit Desai  -PS Jumuiya ya afrika mashariki

Margaret Mwakima –PS   ustawi wa maeneo

Esther Koimett –PS Matangazo na mawasiliano

Peter Kaberia –PS  Madini

Safina –PS  Utalii

Collete Suda –PS   Jinsia .

Rais Kenyatta pia amefanya uteuzi wa  makatibu wa utawala katika wizara mbali kama ifuatavyo-

Hussein Dhado –CAS   Wizara ya Usalama wa ndani

Patrick Ole Ntuntu- CAS Wizara ya Leba

Andrew Tuimur –CAS Wizara ya  maji

Abdul  Bahari –CAS Wizara  Ugatuzi na maeneo ya ASAL

Lawrence Karanja – CAS wizara ya  Viwanda na Biashara .

Peter Odoyo – CAS Wizara ya  Ulinzi

Maureen Magoma Mbaka- CAS Wizara ya  ICT na Ubunifu na masuala ya Vijana

Winnie Guchu – CAS Wizara ya  Sheria ya Serikali

Wavinya Ndeti – CAS Wizara ya Uchukuzi

Zachariah Mugure –CAS Wizara ya Elimu

Mumina Bonaya – CAS  Wizara ya Elimu

Lina Jebii Kilimo – CAS Wizara ya kilimo ,mifugo na Uvuvi

Ann Mukami Nyaga- CAS Wizara ya ya kilimo ,mifugo na Uvuvi

Mercy Mwangangi – CAS Wizara ya Afya

Nadia Ahmed Abdalla –CAS Wizara ya  ICT ,Ubunifu na masuala ya vijana .