'Mtu amwambie Mejja si lazima ashirikishwe kwa kila wimbo,'Shakilla amshambulia msanii Mejja

Muhtasari
  • Mwanasosholaiti Shakilla amshambulia msanii Mejja hii ni baada ya kushirikishwa kwa kibao chake Bensoul cha 'Nairobi'
Shakilla
Image: Hisani

Mwanasosholaiti chipukizi Shakilla kwa mara nyingine ameanzisha ugomvi kati yake na msanii Mejja Khadija.

Hii ni baada ya msanii huyo kushiikishwa katika kibao cha Bensoul cha 'Nairobi'.

Kwa kweli tunamfahamu Shakilla kwa mambo ambayo amefanya kwenye mitandao ya kijamii na kuacha wanamitandao midomo wazi.

Awaki mwansosholaiti huyo alikuwa kwenye kipindi cha mchekeshaji Eric Omondi cha 'Wife material' ambapo baada ya Eric kumchagua mkewe Shakilla alidai kwamba ana ujauzito wake Eric.

Mejja
Image: Hisani

Kwa wasanii wote ambao wamejaa humu nchini Shakilla alimua kumshambulia Mejja.

Ni kibao ambacho kilitoka siku ya Ijumaa,15 Januari ambapo kimewashirikisha wasanii tofauti lakini Shakilaa akaamua tu kumshambulia Mejja.

Kupitia kwenye mitandaoo yake ya kijamii ya instagram alikuwa na haya ya kusema kuhusu msanii huyo;

"Mtu amwambie Mejja si lazima kwake kushirikishwa katika kila wimbo,kibao cha Nairobi kilikuwa kizuri hadi pale alianza kuimba mistari yake

Anakaa Amin Dada mwenye gharama ya chinisekunde zake tatu hazikuhitajika, wacha mistari yake ifutwe na kibao hicho kiwekwe tena kwenye youtube kabla muda hauja yoyoma."Aliandika Shakilla.

Hii hapa video ya kibao hicho;

STREAM/DOWNLOAD NARIOBI: https://africori.to/nairobi Written by: Bensoul, Bien-Aimé Baraza & Mejja Performed by: Bensoul, Sauti Sol, Nviiri the Storyteller & Mejja Composed & Arranged by: SoFresh254, Bensoul, Savara, Bien & Mejja Produced by: SoFresh254, Bensoul & Savara Recorded by: Eric Fernandes, Sam Are (Supadrum) & Trevor Magak Mixed by: Trevor Magak, Fancy Fingers & Sharon Onyango-Obbo Mastered by: Trevor Magak Horns: Hornsphere Guitars: Fancy Fingers Bass Guitar: Yvan Kwizera Background Vocals: Akisa Wangari Recorded at Sol Generation Records & Snowball Industries VIDEO CONCEPT: Bensoul & Roadman Directed by: Roadman Edited by: Rodney Wachira Produced by: Tom Olang'o Executive production Sol Generation Records FOLLOW BENSOUL ON: Facebook: https://www.facebook.com/bensoulmusic/ Twitter: https://twitter.com/Bensoulmusic Instagram: https://www.instagram.com/bensoulmusic/ NAIROBI LYRICS Habari mbaya zimenifikia Mandugu zangu wananikulia Kumbe sahani yangu ni sinia Na inaniuma sana Yule mpenzi niliaminia Nikamueka mbele ya dunia I must be trippin nikikurudia Umenitesa sana. Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama Marashi yako yalinivutia Siku ya kwanza ulipopitia Kumbe si mi pekee nilinusia Yolanda ya lavender Na mbogi yangu iliniambia Eti nikusare but sikusikia I don’ wanna do this shit no more my dear Najuta kupendana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama Gonga, gonga like x4 Rieng, rada Siku hizi madame ni blanda Jana cuzo alimkaza He’s family, ah ah Get together kwa bed Hio story tumekataa Maboy wengine blanda Watakukulia mama Na wakuchekeshe sana Madame madame, eh Madame wa siku hizi Wana machali wengi Nilichapa mmoja juzi Ikaingia ndani, dive Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana Nairobi Yule anakupea, pia ananipea Akikuletea, ananiletea Wanakula fare Sote tunashare Ogopa sana mama