(+Video)Funga duka ya hii ujinga unafanya-Ringtone amuonya Eric Omondi

Muhtasari
  • Ringtone amuonya Eric Omondi awache kuwatumia wanawake vibaya
  • Jumatano usiku baadhi ya wanawake wa kipindi hicho walilala korokoroni, baada ya kupigana klabuni

Msanii Ringtone Apoko kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alimshambulia mchekeshaji Eric Omondi kwa kuwatumia wanawake katika kipindi chke ya 'Wife material'.

Msanii huyo alimwambia Omondi kwamba watu wamechoka na utoto wake ambao anafanya.

Jumatano usiku baadhi ya wanawake wa kipindi hicho walilala korokoroni, baada ya kupigana klabuni.

Pia Ringotone alimwambia kwamba atamuombea wakati huu na ataona mambo mabaya.

"Eric Omondi funga duka ya hii ujinga unafanya tumechoka, hii utoto unafanya sijui kama uko na dada na shangazi

Hii upuzi unafanya sijui kama unaheshimu wanawake, huu utoto unafanya hatutakubali, nitakuonya mara tatu wakati huu, nitakuombea na mambo mabaya yatakutokea," Alisema Ringtone.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki baada ya Ringtone kumuonya Omondi;

antoniothemc: 😂😂😂 kumbe pia wewe unawatch. Hii show ni HIT basi

djslim254ke: I totally agree with you brother @ringtoneapoko enough of this mediocrity, he should do something more constructive than all that nonsense and clout chasing

joycarol27: Yeah what Erick omondi is doing is not right and I do not know who is allowing this to happen in kenya

timothy: ndunguWewe tunajua maombi yako mungu huwa hasikii. Si ni juzi tu ulikuwa unaitisha gari ukakata Kupewa

___fleekboss: Hate Ringtone but yes... Here he. is right... He's using Women for his own selfish gains... He used the Bandbeca.. Kissed her. Made her pose naked... I think he should respect the fact that he is a father and the mirror of the society

el_trappy: 😂we kama ulikataliwa after kupeana gari wacha wenye misuli wapendwe