Nataka Kujaribu Relationship Mara Ya Mwisho-meneja wa Bahati Weezdom adai

Muhtasari
  • Kwa maoni yangu kumpata mpenzi mwema au kupata mapenzi ya kweli hapa nje ni jambo ngumu
  • Meneja wake Bahati aweka wazi ataka kujaribu uhusiano wa kimapenzi kwa mara ya mwisho

Kwa maoni yangu kumpata mpenzi mwema au kupata mapenzi ya kweli hapa nje ni jambo ngumu.

Kuna wale ambao wamepata mapenz ya kweli, na wale wameumiza roho kwa ajili ya mapenzi, watu weni wanatafuta mtu ili ajifaidi yeye mwenyewe.

Katika wakati huu wa sasa wengi wanasema kwamba wanawake wanataka tu pesa na wala sio mapenzi ya kweli.

Nao wanawake wanasema kwamba wanaume wanataka mwili wa mwanamke na wala sio mapenzi ya kweli, kisha kila mmoja anaweka mawazo tofauti akilini mwao.

Meneja wa msanii Bahati, Weezdom kupitia kwenye ukurasa wake wwa instagram amewafurahisha mashabiki wake kwa kusema kwamba atajaribu uhusiano wa kimapenzi kwa mara ya mwisho.

Huu hapa ujumbe wake;

"Nataka Kujaribu Relationship Mara Ya Mwisho..Haki Hii Ikikataa, Huyo Mimii Hadi Consolata Seminary Nikuwe FatherπŸ˜‚πŸ˜‚," Aliandika Weezdom.

Hizi hapa hisia za mashabiki baada ya kusoma ujumbe wake;

bahatikenya: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Akiaaananiiiiii

nezzohmontana: HahahaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ babaa unaenda suicide mission IslamabadπŸ˜‚πŸ˜‚

finnest_novo: Jaribu na mimi πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

__viol.a: Please do soπŸ˜‚

njeriwambui032: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Weezy round hii bet haitachomeka usijaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

w.a.n_g.u.i_: Shetani asikuonee this timeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

oziliated: Si ulikataa Mylee wetu pambana

shikz_kariungi: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ alaaaah alaaaah say no more

shekowariana: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mi naona ukienda tu io seminary