Acha kutumia umaarufu wa watu kujaribu kujenga wako mwenyewe-Akothee

Muhtasari
  • Akothee awakashifu wanaotegemea umaarufu wa wenzao kujenga wao wenyewe
akoth stylish 1 (1)
akoth stylish 1 (1)

Mwanabiashara na msanii Esther Akoth maarufu Akothee amewaonya wakenya ambao wanatabia ya kutegemea au kutumia umaarufu wa mtu mwingine kutengeneza wao.

Waswahili husema mtegemea cha nduguye hufa maskini, lakini wengi wanaonekana kusahau na kauli hiyo huku wakiwategemea wengine kwa kazi zao.

Pia msanii huyo alishindwa jinsi watu wanapigania nafasi humu nchini ilhali mbinguni kuna nafasi za kutosha.

"Sijawahi kuelewa ni kwanini watu wanapigania nafasi Duniani ilhali kuna nafasi ya kutosha kwetu sote

Acha kutumia umaarufu wa watu kujaribu kujenga yako mwenyewe. Asili bado inabaki ,kuwa mwangalifu na nani anataka kuungana na wewe Bitcheswanatafuta kiki na wafuasi kupata muhimu na umaarufu, sijui ni nini wengine wetu wangekuwa ikiwa tungekuwa na matumaini juu ya Mgongo wa watu, jiheshimu na ujunge brand yako," Aliandika Akothee.

Hizi hapa hisia za mashabiki;

djjoemfalme: Unawapasha kuwapasha 😂

socialites_trending_stories: wameanza kukuwa watu bladifakin 😂 😂 😂

brian4939: Mimi Nakupenda wewe huvai fake Gucci kama yule Alikuwanga rafiki wako Madame Hoezari 😂😂😂😂

dell_primah: Mumefanya aje boss lady bana 😤😠😡

priscillah_mary: True inspiration

zainabu5164: Komesha komesha