Mwanasosholaiti Manzi wa Kibera asema kuwa inamgharimu mwanaume Sh700,000 kulala naye usiku mmoja

La kushangaza zaidi ni kuwa amekiri kuwa kufikia sasa amelala na zaidi ya watu 475

Muhtasari

•Mwanasoshalaiti huyo ambaye anasifiwa sana kwa unene wa makalio yake pia amesema kuwa analipisha elfu tano kwa yeyote ambaye anatamani kugusa sehemu yake ya mwili yoyote .kwa mara moja.

•.Amesema kuwa alipoteza ubikra wake siku ya kuadhimisha kufikisha miaka 27.

•Manzi wa Kibera alipata umaarufu mkubwa aliposhirikishwa kwenye kipindi cha  'Wife Material' chake mcheshi Eric Omondi.

Mwanasoshalaiti Manzi wa Kibera
Mwanasoshalaiti Manzi wa Kibera
Image: Instagram

Mwanasoshalaiti Wambui almaarufu kama Manzi wa Kibera kutoka Kibera amewashangaza wanamitandao baada ya kuwa inamgharimu mtu shilingi laki saba ili kulala usiku mmoja naye

Mwanasoshalaiti huyo ambaye anasifiwa sana kwa unene wa makalio yake pia amesema kuwa analipisha elfu tano kwa yeyote ambaye anatamani kugusa sehemu yake ya mwili yoyote  mara moja tu

Akijibu mashabiki wake kwenye kipindi cha maswali na majibu katika mtandao wa Instagram Manzi ya Kibera amesema kuwa yeye hupokea malipo kwanza kabla ya kuhudumia wateja wake

.La kushangaza zaidi ni kuwa amekiri kuwa kufikia sasa amelala na zaidi ya watu 475. Amesema kuwa alipoteza ubikra wake siku ya kuadhimisha kufikisha miaka 27.

Mwanasoshalaiti huyo ambaye anajiita 'Vera mpya' amesema kuwa anapendezwa sana na mwanamuziki Akothee

Ameeleza kuwa alikuwa mfuasi mkubwa wa kanisa hadi kuteleza kwake. Hata hivyo, hajafichua sababu ya kuteleza kwake.

Manzi wa Kibera alipata umaarufu mkubwa aliposhirikishwa kwenye kipindi cha  'Wife Material' chake mcheshi Eric Omondi.