Niekeni kwa maombi,'Cartoon Comedian awarai wakenya baada ya kutishiwa maisha

Muhtasari
  • Wikendi iliyopitia mchekeshaji huyo wa churchill, alipakia video akisema kwamba alishambuliwa na wezi baada ya kukejeli mmoja wa wasanii
Cartoon Comedian
Image: Facebook

Drama kati ya wasanii wa kenya haijakuwa iskiisha mara kwa mara kwani drama moja ikitoka nyingine inaanza.

Wikendi iliyopitia mchekeshaji huyo wa churchill, alipakia video akisema kwamba alishambuliwa na wezi baada ya kukejeli mmoja wa wasanii.

Mcheshi huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amepakia jumbe ambazo zimetumika kumtishia maisha huku akiwaomba wakenya amueke kwa maombi.

Kupitia kwenye video aliyopakia mitandaoni Cartoon alidai kwamba msanii huyo hana talanta na badala ya kuwatuma watu waende kumchapa angemuita waonee amfunze jinsi ya kuimba.

Aidha aliwaambia wasanii wajifunze kutatua matatizo yao, na wala sio kutafuta vijisababu nyingi.

"WAKENYA NIEKENI KWA MAOMBI!!" Aliandika Cartoon.