'Huo mdomo unapaswa kuchapwa na slippers,'Wakenya wamshambulia Omosh kwa kuomba msaada tena

Muhtasari
  • Wakenya wamshambulia Omosh kwa kuomba msaada tena
  • Wahisani, wakiwemo wasanii tajika, walimiminika kumsaidia Omosh nakwa muda akavuma kwenye mitandao ya kijamii
Joseph Kinuthia
Image: Ivy Muthoni

Aliyekuwa muigizaji wa Tahidi High Joseph Kinuthia maarufu Omosh siku ya Ijumaa akiwa kwenye mahojiano alisema kwamba hakupoke pesa zote ambazo wasamaria wema walikuwa wameahidi.

Wahisani, wakiwemo wasanii tajika, walimiminika kumsaidia Omosh nakwa muda akavuma kwenye mitandao ya kijamii.

Hii ni baada ya muigizaji huyo kudai ana madeni na pia amedaiwa kodi ya nyumba.

"Watu waliahidi pesa lakini sikuwahi zipokea. Nilipata chini ya milioni moja ambazo nilitumia kulipa madeni niliyokuwa nayo

Niko tayari kufanya kazi yoyote. Nahitaji kamera na vifaa vyake ili kufanya kazi," aliwaomba Wakenya.

Baada ya wakenya kuona ombi lake Omosh siku ya Ijumaa walikuwa na haya ya kumwambia;

Miongoni mwa wakenya ambao walimshambulia alikuwa mtangazaji Jalang'o ambaye wakati huo alimsaidia Omosh sana na hata kuwaambia marafiki zake wamsaidie.

djshiti_comedian: Hiyo mdomo inasema 070 something inafaa kuchapwa na slippers!!! Hata adabu huna wajameni... Kwani kila interview anafanya ni mchango??????

notiflow: Aaaah.. I also want money

yycomedian: Nataka confidence kama hiiπŸ˜‚..it's the last slide for me

jalangoo: Some people never learn! I can easily assure that omosh got more than 1m from my show...personally in cash he got more than 700k then the people who sent money directly to him! I hosted him 2 weeks after he came out ...people had already started sending him money! @zeroheropropertiesltd got him land and @sungtimber1 built him a house! @honalinur gave him food worth 60k and another 100k in cash !! Hii ni ujinga tu!

nicki_bigfish: Me na muelewa, 1m ni kidogo plus ata hiyo shamba na nyumba haiwezi saidia mtu. Paybill i come through πŸ˜‚

h.i.l.l.a.r: Amekua bladfakin sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

papichullo_icon: Tabia za wakenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

society.king._: Ni omosh tutaskiza ama ni album ya bahati

capuccino.__: si uende tu ocha broπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚