Hongera!Victor Wanyama na mpenzi wake Serah Teshna wabarikiwa na kifungua mimba wao

Muhtasari
  • Victor Wanyama amebarikiwa na kifungua mimba wake na mpenzi wake muigizaji Serah Teshna
Image: Hisani

Victor Wanyama amebarikiwa na kifungua mimba wake na mpenzi wake muigizaji Serah Teshna.

Wanyama amekuwa akieka uhusiano wake wa kimapenzi mbali na mitandao ya kijamii.

Kulingana na Serah Mungu amekuwa wa ajabu mwaka wa 2021 na ana furaha kueleza safari ya ujauzito wake.

Pia kulingana na Serah mwanawe ana siku 40.Muigizaji huyo alienda kuishi Uingereza baada ya kuacha kazi yake ya utangazaji kwenye runinga ya K24.

Wanamitandao wamechukua fursa hiyo na kumpongeza Serah, na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

jackyvike: Congratulations Mama! You look stunning!😍😍

hassansarah: Congratulations hunπŸ€—β€οΈπŸ€—β€οΈπŸŽ‰

makenanjeri: Congratulations to you my friend! You are blessed and deserve it all ❀️

daddyowen: Congratulations mulamwa πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sharonkmwangi: Congratulations my love! So happy for you & all the best in your new journey ❀️❀️

belinda_bariu: Motherhood looks so good on you.You are an amazing mother to our little angel.Love you bothπŸ‘ΌπŸ€ŽπŸ€