Shakib Cham afuta picha zote za Zari katika mtandao wake wa kijamii

Shakib Cham ambaye ni Mume wa mfanyabiashara na mwanasosholaiti Zari Hassan.

Muhtasari
  • Amewapa mashabiki wake dokezo kuwa kuna tatizo katika uhusiano wao na mwanasosholati huyo kwa kutoa picha zao pamoja katika mtandao wake wa kijamii.
amemsherehekea mke wake Zari Hassan.
Shakib amemsherehekea mke wake Zari Hassan.
Image: INSTAGRAM// SHAKIB CHAM

Shakib Cham ambaye ni Mume wa mfanyabiashara na  mwanasosholaiti Zari Hassan.

Amewapa mashabiki wake dokezo kuwa kuna tatizo katika uhusiano wao na mwanasosholati Zari  kwa kutoa picha zao pamoja katika mtandao wake wa kijamii.

Februari 22, 2024 Shakib alichapisha ujumbe wa siri ulioshirikiwa kwa Instastories zake na kusema;

"Watu wenye nia safi wapate watu safi wenye nia safi. Aliendeleza, " "Mitandao ya kijamii inakufanya uvutie watu ambao unapaswa kuwaombea."

Wengi wanaamini kuwa meseji hizo huenda zikamlenga mkewe Zari Hassan. Mkewe wake pia inaonekana kuwa hana picha zozote ako nayo na mume wake Shakib.

Inaonekana kuwa haya yote yameletwa na video amabayo boss wa WCB Diamond Platinumz alichapisha katika ukurasa wake wa Instagram  kama wameshikana mikono na Zari ambaye ni mama ya Watoto wake wawili.

Video hiyo ilizindikizwa na maandisha ambayo ilikuwa inasema " Mimi na dada @zarithebosslady.โ€ 

Mashabiki wengi watu wengi walijibu chapisho hilo. Tazama  baadhi ya majibu ammabayo mashabiki waliandika.

@romyjons: NINYAMAZE ZANGU MIE ๐Ÿ˜ข

@davies_tony: TF you mean sister?

@officialbabalevo: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

@tis_nachu: Which country is this ๐Ÿ˜‚

@_shintah: Rooting for this brother sisterhood ๐ŸŒโค๏ธโค๏ธ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Zari na Shakib walifanya harusi yao ya kitamaduni huko Pretoria, Afrika Kusini, Aprili 16, 2023. Mwanasosholaiti huyo ako na watatu watano. Watatu kutoka kwa bwana wake wa kwanza Ivan Ssemwanga na wengine wawili kutoka kwa mwanamuziki Diamond Platinumz.