Hongera!Mwigizaji Nyce Wanjeri na mpenziwe wanatarajia mtoto

Huku mpenziwe akishiriki alimsifu Nyce Wanjeri kwa kuwa mpenzi wake na katika maisha yake.

Muhtasari
  • Mwigizaji wa Auntie Boss Nyce Wanjeri na mpenzi wake Leting Kipkemboi wanatarajia mtoto. waili hao walitangaza haya kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii
NYCE WANJERI NA MPENZIWE LETING KIPKEMBOI
Image: NYCE WANJERI/INSTAGRAM

Mwigizaji wa Auntie Boss Nyce Wanjeri na mpenzi wake Leting Kipkemboi wanatarajia mtoto. waili hao walitangaza haya kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Nyce kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram alisema;

"Turuhusu kushiriki habari hizi njema nanyi,tunataraji mgeni, tuna shiriki habari hizi mioyo yetu ikiwa imejaa na tunawauliza msherehekeee nasi,"Aliandika.huku akiwa amepakia picha na mpenziwe ikionyesha ujauzito wake.

Huku mpenziwe akishiriki alimsifu Nyce Wanjeri kwa kuwa mpenzi wake na katika maisha yake.

"Tunatarajia mgeni na kuwa na mpenzi kama Nyce Wanjeri maishani mwangu ni mazoea ambayo siwezi kueleza, asante kwa kunipa ahadi hii natazamia kutembea nawe katika safari hii mpya."

Mahabiki waliwapongeza wawili hao na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

njerinjoroge1: The God of one two many chances congratulations πŸŽ‰ wanje

thingsbyallisn: Ahhhhhhh😍😍😍😍im so happy for you!!!!!!!!!!!!!!!!πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³congrats!!!! πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰

doc_chelimo: Congratulations to the both of you😍😍😍😍

brytoneosengo: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,broooh navile unaka innocent.hukai mmiliki

sandra_dacha: Phweeks at least now i can share the photos😝 ile warning ulinipatia wuehπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸ₯°

merckiarie1995: Congratulations mama I now believe love is found even in the darkest of season