Otile Brown amsuta shabiki baada ya kukejeli ngoma mpya mtindo wa rapu

Msanii wa Kenya alimjibu shabiki ambaye alionekana kukejeli ksazi ya otile,akisema kwamba anafaa atulie na mtindo wake wa R&B

Muhtasari

•Msanii Otile Brown asema kuwa wanaomkejeli hawana ujasiri wa kutosha na yeye sio msanii mwenye majivuno bali anajiaminia kutokana na uwezo wake mpana.

otile Brown
Image: instagram

Msanii wa Kenya Otile Brown,alimjibu shabiki mmmoja ambaye alionekana kukejeli ngoma yake mpya ya rapu,akisema kuwa anafaa akwame mna mtindo wake wa kimziki wa R&B.

Otile ambayev anafahamika sana na wengi katika ukandab wa Afrika ya mashariki kwa ueledi na ubunifu  wake wa utunzi wa midundo.Alijibu komenti ya shabiki huyo akisema kuwa mashabiki kama hawa hawana taswira kamili ya meseji iliyokusudiwa na wimbo na ndiposa wako kwenye mbio kutoa komenti za kumrudisha mtu nyma.Adha,alisema itabidi mashabiki wa haina hiyo wasikize mziko mara kwa mara.

Otile alionyesha ujasiri wake katika kuonyesha uwezo mkubwa kimziki akisema kwamba hajai toa mziki ambao ni mbaya na apanii kufanya hivo.Alisema kuwa mashabiki kama hao ambao wanatao komenti za kihasi ili wamvunje moyo.

Hili kuhakisha kwamba ametoa mwelezo wake wa kwamba yeye ni hodari wa kutunga ngoma za midundo mbali mbali,alipostii kupitia mtandao wake wa instagram mojawapo ya ngoma alizoziimba miaka miwili ilyopita.Ni nyimbo ambazo zilionyesha kujikakamua kukubwa mno ukilinganisha wakati huo na sasa.Alisema kujituma muhimu.

Alimalizia na kauli ya kuwa yeye ni mjasiri mno na yeye si msanii mwenye majivuno lakini anaminia pakubwa uwezo mpana.Otile aidha aliwaambia wanaomkejeli kwamba wanafaa wawe wajasiri.