‘His cassava was too small,’ Mkewe Njugush afunguka kuhusu uhusiano wake wa awali

Mkewe mcheshi Njuguna amefunguka kuhusu uhusiano wake wa awali kabla hajampata ama hajakuwa katika uhusiano wa kimapenzi na Njuguna.

Celestine akiongea katika mtandao wa kijamii wa youtube, alisema mwaka wa,2012 alipatana na kijidume ambaye alikuwa anaishi mtaa wa Lavington na kisha wakapendana.

“My disappointment is meeting a guy who was living in Lavington. I was so happy but on that day that we were to meet in his house, I was disappointed with what I saw while inside there." Celestine Aliongea.

Njugush alimuuliza na ucheshi wake nini hicho alichokiona kilimfanya hasipende,

“Was it that the nini was so biiig for you?”

Celestine alijibu na kusema Hapana, aliendelea na kusema kuwa mwanaume huyo alikuwa mkubwa lakini alikuwa mnene kiasi chake.

Mmmmh ina maana kuwa Njugush kwa mchezo huo anauweza na ndio maana Celestine alimchagua? hamna anye jua.

Awali katika mahojiano moja Njugush alisema kuwa alimpenda Celestine kwa maana ni mwenye bidii na roho safi.

"She is a beautiful soul. She is happy. She is very hard working and she loves to achieve, yaani after something she will be like…sasa hapa tunado? She is someone who will never let you be in the comfort zone, she will push you to do things, sasa tumefika hapa we need to do this, she is very smart and also she gets things faster." Njugush Alisema.

Wakavinye naye alimsifu Njugush na kusema kwanini alimpenda mumewe,

"He is very hardworking, from kuosha masahani to doing everything else. He is also a go getter, he does his thing, kabla ifike point ya kuita mtu he has to try first, and he is the hands on kinder husband. He is very smart. Like last year amenifunza kitu, like before I used to deliver information half baked, but now days I have to ask the full information before I tell him anything." Wakavinye Alizungumza.