CRIME SCENE: Eneo la B Club Latajwa kama sehemu ya tukio Baada ya Babu Owino kumpiga risasi DJ mmoja (Picha)

 B Club  eneo la burudani ambako tukio la mtu kupugwa risasi limetokea sasa limezibwa na polisi kama eneo la  mkasa uchunguzi ukiendelea kuhusu tukio hilo.

B Club ni maarufu sana miongoni mwa wanaotajika katika siasa ,biashara na sanaa nchini na kila siku kuna  wateja waliojaa  na karamu za kila mara .