Dadangu amemdanganya mumewe kuwa ana STI ili asimpatie haki yake-mwanamke afichua siri ya dada yake

cheattt-696x481
cheattt-696x481
Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, mengi husemwa na siri nyingi kufichuliwa na baadhi ya watu, mwanamke mmoja aliwaacha wengi midomo wazi baada ya kusimulia siri ya dada yake.

Mwanamke huyo alisema kuwa amepanga shemeji yake ukweli kuhusu mke wake ambaye kwa muda amekuwa akimdanganya ili kufanya ngono na mwanamume mwingine.

"Dada yangu anamdanganya mumewe na siwezi shuhudia hayo yakitendeka, mume wake ana sura nzuri, ni muombaji na pia mwenye bidii

Huwa anampa kila atakacho ilhali dada yangu huwa anapekejeng na wanaume tofauti. Awali amekuwa  akifanya ngono na wanaume wengi hadi kuharibika

Amekuwa akivaa diapers kwa wiki kadhaa sasa na kudanganya mumewe kuwa ameambukizwa STI, hajakuwa akimpa mumewe haki yake huku akijifanya ana ugonjwa wa STI

Namhurumia sana shemeji yangu, nataka kumuambia kila kitu dada yangu amekuwa akimfanyia." Alieleza Mwanamke.

Wengi wlishangazwa na usimulizi huo na walikuwa na haya ya kusema;

b_zainabb Just say you’re interested in your sister’s husband 😒

wanjaripj instead of you to advise your sister you want to take her husband. Better mind your business.

sansabankz Please leave her. Karma awaits her but just leave her alone.

mrolawoyin Babe, as much as you feel for the man, it’s not in your place to date or marry him. Also, report to your mother and not her husband.

 toyosii_ Sister from hell! But why do some married folks do all these stupid things!!!

regina559 So you want us to encourage you on how to date your sister’s husband?? You are no different from your sister then.

kemifit Good purpose, but bad intentions. There’s no difference between the two of you since you’ve had your eyes on your own sister’s husband for a while. How do you want to marry your sister’s ex if he leaves her? I can’t say you’re doing something entirely good since you want to gain something at the end. You can tell him to save his life and remove him from the dark but this your own intention is 0.