Dah! Hatari sana Bahati amnunulia Diana Marua chumba kipya

Diana-and-Bahati-mbl
Diana-and-Bahati-mbl
Katika posti fulani ya siku 3 nyuma, mkewe staa wa muziki wa injili mwenye umaarufu mkubwa zaidi hapa Afrika Mashariki Bahati alionekana kuteta kwa kunyimwa fursa ata kwa kuzijua neno siri za ATM ya mpenzi wake.

Pata hadithi nyingine:

https://www.instagram.com/p/ByvPZhkF3Km/

Sasa Bahati amemshangaza zaidi na chumba hatari. Diana Marua anaonekana katika video hiyo akitamani zaidi yale mazingira yanayokizingira chumba kile. Bahati anaonekana zaidi kupendezwa na nyasi iliyo nje ya chumba kile.

"Wah Kanyasiii." Asema Staa huyu.

"This will be our dream home!" Diana Marua anasema kwa tabasamu.

Soma pia:

Tazama hapa:

https://www.instagram.com/p/By5dRJFFdlP/

Nyota yake Bahati kwa sasa inang'aa zaidi na anafanya vizuri na kibao hatari kinachokwenda kwa jina Nyota. Tazama hapa:

Wafuasi wake katika mtandao wa insta wameonekana kujawa na tabasamu kubwa wakimpongeza staa huyu kwa kuzidi kutia fora na kupiga hatua maishani.

Tasnia ya muziki inaonekana kutia fora zaidi nchini na wasanii wa injili kuchuma hela kiasi kikubwa.