Diamond Platnumz ajiweka katika ‘karantini’ baada ya maneja wake SK Mendez kupatwa na virusi vya Corona

Maneja wa mwanamuziki wa Bongo Diamond Platnumz Sallam SK Mendez  alipatikana na virusi vya Corona ,kulingana na ujumbe wenye hisoa aliotuma mtandaoni .

Akitoa tangazo hilo katika ukurasa wake wa instagram SK alisema amejitenga ili kupeuka kuusambaza ugonjwa huo . Imethibitishw akwamba baada ya tukio hilo Diamond ameamua kuchukua hatua ya tahadhari kwa kujitenga

Msanii mwingine wa  Bongo Mwana FA pia amesema kwamba amepatikana na virusi hivyo lakini yuko katika hali nzuri