Diana Marua alalamika,Bahati hamfanyii hiki

Mpenzi wake Bahati Diana Marua katika mitandao ya kijamii analalamika kwa kile anakitaja kuwa bwanake ambaye ni supastaa mkubwa hapa afrika mashariki katika muziki wa injili hakitekelezi kwake.

Soma hadithi nyingine hapa:

Bahati hajampa mkewe uhuru wa kupata neno siri ya ATM. Katika chapisho kwenye mtandao wa insta, mama huyu analalamika kuwa hapati nafasi ya kuenda kutoa hela katika akaunti ya bwanake.

Tazama hapa:

https://www.instagram.com/p/ByvPZhkF3Km/

Tazama picha zake msanii bahati na mpenzi wake Diana:

Soma hapa;