DK Kwenye Beat 'Nilipimwa herpes, sikujua ni ugonjwa gani'

DK-Kwenyebeat-1
DK-Kwenyebeat-1
Mwanamziki DK Kwenye beat ameeleza kwa mara ya kwanza kwamba baada ya skendo yake, alienda kupima ugonjwa wa herpes.

Akizungumza na Massawe katika Ilikuaje, DK ameeleza kwamba hana ugonjwa huo na vile vile hakubaka mwanamke, kama jinsi ilivyokua imetangazwa hapo awali.

Soma hadithi hapa:

"Unajua sikua najua herpes ni ugonjwa gani. Hata walikua wanasema ni herpes, nilidhani ni ugonjwa wa kawaida.Ukipimwa huu ugonjwa unakaa siku tano ukisubiri matokeo. "

"Nikasema mimi niko tayari kupimwa. Tulipimwa hadi HIV. "

"Jambo la kwanza ni hili, siku-rape yeyote, la pili mimi siko mgonjwa na la tatu huyo si mpenzi wangu na sikushiriki ngono na yeye."

Aliendelea kueleza kwamba hii ndio skendo yake ya kwanza;

Kwa maisha yangu yote sijawahi kuwa na skendo, ilikua yagnu ya kwanza. Ilikua Januari, kukakua kumetokea issue kukakuwa nime-rape na nime-infect.

Ikaleta noma sana. Nikafanya apology I think we apologizing doesn't mean I'm wrong and the other person is right. There are people that I inspire and this was an issue that affects the girlchild.

DK anasema kwamba Voice Notes ambazo zilisamzaa haikua sauti yake.

Pata uhondo hapa:

Voice note hata mimi nilitumiwa, huyo sio mimi. Issue nili-adress kwenye video lakini audio iso mimi. Hiyo time skendo ilkua iko juu sana.

KIla mtu alikua anagive their own opinn. Poeple didn't gfollow up th e siisue. Na hata zile chats zilizosambaa sio za simu. lakini vile story ilivyotoka ikawa ni kawaida.

Anasema kuwa msichana aliyehusika anatumiwa ana maadui wake.

This girl was used unkowinglky. Mimi najua ukweli wa mambo na najua ni nani alihusika. watu waliousika ni asilimia kumi.Wakinisukuma sana majina nitataja. Imani yangu ni tofatuti, nimelelewa katika njia za Kristu na nina upendo sana. We all fall short of His glory.Hatuwezisema hiis kendo iliaribu mengi, skendo yangu haiwezinidefine.