'Dont be a side chic!' Linda Muthama ajutia uhusiano wake aliokuwa nao na Nyambane

Akiwa kwenye mahojiano na word is staa wa Tusker Project Fame Linda Muthama alisema vile amepitia changamoto nyingi maisha lakini Mungu amekuwa naye.

Alisema kuwa alichukua mapumziko kutoka katika sanaa ya muziki ili kuomba na kujijua zaidi.

Linda alifahamika sana wakati wa kipindi cha Tusker Project Fame, Linda alikuwa mke wa pili wa mcheshi Walter Mong'are almaarufu Nyambane.

"WHILE TPF WAS A BIG STORY FOR ME…DATING WALTER OVERSHADOWED IT. YEARS LATER AWAY FROM HIM THE STORY STILL RESURFACED YET I AM NOT THE FIRST TO LEAVE A RELATIONSHIP. I REMEMBER READING THE POLYGAMIST, HUSBAND SNATCHERS, ETC." Alizungumza.

Lakini hayo yote ni ya kale na afadhali kwake kuyaeka nyuma na kuendeleea na maisha yake,

“I LIVED IT AND IT ENDED. TODAY, I RISE STRONGER. SOME CHOICES WE MAKE IN LIFE CAN REALLY PULL YOU BACK

TODAY I AM CALLED THE MOTHER, THE WORSHIPER, THE SISTER, THE FRIEND, THE TEACHER, MY MENTOR."

Aliachana na Nyambane kwa ajili alikuwa anajihisi yuko peke yake alipokuwa kwenye uhusiano wao;

“ADULTS ARE LIKE CHILDREN ONLY OLDER. THERE IS AN INNATE DESIRE TO SETTLE AND TO BE. HOWEVER, IF THIS IS NOT MET BECAUSE THE PARTNER HAS TO ATTEND TO MANY OTHER COMMITMENTS IT GETS LONELY. ESPECIALLY THEN BECAUSE I WAS PREGNANT.”