IMG_20200215_102605

Enjoy!;Wanamziki wenye ‘sitting allowance kubwa’-Hollywood

1:Iggy Azalea

Mwanamitindo huyu wengi wa wafawsi wa Hollywood humweka katika orodha moja ya shepu na Kim Kardishian.

Makalio yake yenye mvuto huwaacha akina yahe yani wanaume wakimzea mate na wengi huadhania kuwa hatawai zeeka .

Image result for iggy azalea photos

 

2:Nicki Minaj

Yes,Iwapo kuna mtu hamfahamu kichuna huyo ,basi pole,

Makalio ya msanii Nicki Minaj kwa miaka mingi yamekuwa yakiwazengua wanaume wengi ulimwenguni hata wakiwemo wanamziki wenza .

Nicki urembo wake ulianza kukolea akiwa na umri wa miaka 16 na baada ya kuingia katika tasnia ya mziki hapo ndipo ulimwengu ulianza kuona tofauti ya kalio na makalio.

Image result for download nicki minaj photos

Dear KOT,’ Itumbi awajibu wakenya kuhusiana na kuachiliwa kwa Jowie.

3:Jen Selter;

Selter alianza kama mwanamitindo chipukizi Hollywood na baadaye akapewa mkataba wa kuhudumu katika kampuni hiyo kutokana na ukubwa wa Makalio yake.

Wengi wa wafwasi wake huyafananisha na ya mchezaji wa tenisi Serena Williams kwani ,shepu ya makalio yake na ya Serena inawiana.

Image result for jen selter photos

4:Beyonce;

Wengi wanamfahamu kutokana na uimbaji wake hodari wa mziki na pia urembo wake.

Wasichokifahamu ni kuwa Beyonce alibarikiwa makalio ambayo yanawatoa wengi majozi ya tamaa haswa anapotembea na vile yanavyobingirika kulia ,kushoto.

 

Image result for beyonce sexy photos

5:Kim Kardashian

Mbali na umaarufu alionao Kim,wasichokifahamu wengi ni kuwa mwanadada huyo ana shepu bya makalio ambayo wengi wanapo yaona huachwa kinywa wazi.

Kim wengi humuorodhesha kama mmoja wa wanamitindo/wanamziki warembo zaidi katika kampuni ya Hollywood.

Image result for kim kardashian sexy photosImage result for kim kardashian sexy photos

6:Shakira:

Nyimbo zake nyingi wengi wanazifahamu sana haswa wakati wa dimba la ulimwengu Afrika Kusini mwaka 2010 ,wimbo wake wa WAKA WAKA.

Shakira mbali na uimbaji wake ,ni mwanadada aliyebarikiwa sauti nyororo inayowaacha wengi wakistaajabu.

Unenguaji wa kiuno chake kikubwa ulimfanya mchezaji wa Klabu ya Barcelona Pique kumnyemelea na kufunga pingu za maisha.

Image result for shakira sexy photos

Photo Credits: radio jambo

Read More: radio jambo

Comments

comments