44446164_1688519234585477_6169064198161563648_n

Eti nunu pills! Wakenya wazungumzia wosia wa Mishi Dorah kwa wanawake

NA NICKSON TOSI

Mishi Dorah alijenga jina lake baada ya kujumuisha katika kipindi cha Nairobi Diaries ambacho kilikuwa kinaangazia maswala ya ufisadi na uongozi nchini.

Mishi labda hana umaarufu kwa sasa lakini hakosi kutoa ushauri pale anapohisi anahitaji kuwashauri watu au kutoa wosia wake.

Katika kitengo cha kuulizwa maswali na kujibu na mashabiki wake kwenye instagram,Mishi aliulizwa na shabiki mmoja iwapo anatumia dawa za kufanya kisima chake cha asali [nunu] kuwa kubwa na kuvutia wateja.

43608726_1210571985775757_7600125766222741504_n

Kama njia ya kujibu swali hilo ,Mishi alikana na kusema yeye huwa hatumii dawa hizo kamwe na hata kutoa ushauri kwa wale waliobarikiwa kisima cha asali kikubwa.

La hasha ,situmii mimi japo kama nunu yako ni kubwa basi nakushauri uanze kufanya mazoezi na wachana na nunu pills zitakuumiza bure.Aliandika Mishi Dorah.

31210914_188371428468740_8352380328815362048_n

Hapa ni maoni ya wakenya

becky_vixen_254 “Eti nunu pills… 😂😂😂😂😂 cheiii yaani Kuna mtu haogopi side effects😂😂😂😂😂 I ”

salim_the_don_ ‘Mademu Mitaro😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄”

gracious6697 “😂lakini Nini husumbua wakenya😂😂”

 

Photo Credits: Radio Jambo

Read More:

Comments

comments