Sababu za Maraga kutaka uchaguzi wa gavana wa Wajir kutupiliwa mbali

Kukosa shahada ya chuo kikuu ndio sababu ya Jaji mkuu wa mahakama ya juu David Maraga kutaka kutupilia mbali ushindi wa uchaguzi wa gavana wa Wajir Mohammed Abdi.

Pia katika kizungumkuti hicho ushahidi uliweza tokea kuwa gavana huyo hana vyeti halali ya shule.

Maraga pamoja na mwenzake jaji wa mahakama ya juu Isaac Lenaola katika utawala wao walisema kuwa ni lazima mgombea Urais, naibu wa rais, gavana na naibu wa gavana wawe na shahada ya chuo kikuu.

Kufuatia utawala wa mahakama ya juu wa 4-2  Ijumaa, wanasiasa na mawakili walisema kuwa uamuzi wa wengi uweze kupea tuzi gavana Mohammed kwa shahada ambazo hakuweza kumiliki kwa mara ya kwanza.

Katika utawala wa pinzani wa jaji Lenaola aliweza kufika katika kilele cha mahitaji ya shahada ya chuo kikuu, na kumalizia kuwa ilikuwa lazima hitaji hilo liweze kutimizwa ili uweze kugombea kiti cha ugavana kama ilivyo katika katiba.

Akiongeza alisema kuwa vyeti vya shule ni moja wapo wa bidhaa ambazo ziliitajika kwa sana na vinaweza pea uchaguzi changamoto.

"Nimeachwa katika shaka kuwa mahakama ya uchaguzi ina mamlaka ya kuamua uchaguzi kabla ya uteuzi na kuwa katika migogoro ambayo inafika mpaka kwenye uchaguzi,

"Hasa kushughulika na masuala ya katiba," Alisema Lenaola.

Utawala huo uliweza weka mikonono hukumu kali kwa tume ya uchaguzi IEBC uwezo wa kuthibitisha kuwa markatasi ya mgombea kiti yako katika ofisi ya siasa.

Pia waliweza kupa kipaumbele kuwa mamia wa wanasaiasa ambao walishinda katika uchaguzi wa 2017 waliweza kuzunguka mahitaji ya kisheria kisha wakafaulu kuwakilisha vyeti ambazo si halali kwa kibali.

Kushindwa kwa IEBC kuendeleza  ukali na mchakato kushirikisha uthibitisho wa shahada na taasisi zinginge na masomo ya juu.

"Kwa hivyo nina pata kuwa ni sharti mgombea ugavana na naibu wake wawe na makartasi ya kufuzu masomo na shahada ya chuo kikuu,

"Sharti mbalo lilitumika katika uchaguzi wa 2013 na 2017, isipokuwa hasa marekebisho, tutatumia njia hiyo katika uchaguzi wa maisha," Alitawala Maraga.

Kulingana na jaji mkuu aliye kuwa gavana Ahmed Abdullahi ambaye aliupa changamoto uchaguzi wa Abdi katika mahakama ya juu, na kisha kupeana ushahidi kuwa shahada ya mpinzani wake si halali.

Maraga aliweza kusema kuwa Abdi alishindwa kutoa ushahidi wake kuwa alikuwa na shahada ya chuo kikuu ambayo ni halali.