Coronavirus :Yafahamu Mataifa yote yaliyothibitisha visa vya Coronavirus

corona-virus-list
corona-virus-list
Virusi vya Corona vimesababisha  vifo vya zaidi ya watu 2800 na wengine 83,000 wameambukizwa kote duniani . Nchi mbali mbali zimechukua hatua za kuzuia maambukizi zaidi ilhali nyingine zinaendelea kupambana na virusi hivyo.  Humu nchini ,rais Uhuru Kenyatta ametoa agizo la kumalizwa kwa hospitali ya Mbagathi katika siku saba zijazo ili iweze kushughulikia visa vya virusi hivyo .

Rais Pia ameunda kamati  maalum  itakayoongozwa na waziri wa afya ili kushughulikia dharuta zitakazoibuka kwa ajili ya virusi vya Corona . Serikali ya Kenya pia imefutilia mbali  safari za ndege kutoka China kuja Kenya .Hii hapa orodha ya mataifa na idadi ya visa vya coronavurus vilivyothibitishwa .