Great come back,' Nyota ndogo kurudi tena katika sanaa ya muziki

Msanii Nyota Ndogo alikuwa amechukua muda bila kutoa wimbo wowote kwa muda wa zaidi ya miaka mitatu huku akisema alikuwa anashughulikia familia na kusoma zaidi kuhusu muziki.

Hii ni kwa sababu sanaa ya muziki imebadilika sana si kama vile kitambo, akiwa katika mahojiano Nyota alikuwa na haya ya kusema.

"I WAS TRYING TO FIND MYSELF AND HOW I’LL MAKE A COMEBACK.SO THAT I DON’T BORE THE PEOPLE NOW AND ALSO MY FANS FROM BEFORE." Alinena Nyota.

Aliongeza na kusema kuwa anataka kutoa nyimbo ambazo zinapendeza kisasi cha sasa na hata kile cha kale.

"I WANT TO BE ABLE TO PERFORM FOR BOTH OLD PEOPLE AND THE YOUNG ONES AS I USED TO BEFORE. I DON’T WANT IT TO BE LIKE,THIS AND THIS IS THE SPECIFIC NYOTA’S TARGET AUDIENCE." Alizungumza Nyota Ndogo.

Nyota alisema kitu cha muhimu ambacho kimekosa katika sekta ya usanii ni upendo na umoja miongoni mwa wasanii wengi humu nchini.

"DURING OUR TIMES,THERE WAS SO MUCH LOVE BETWEEN THE ARTISTS,PRESENTERS,DJ’S,BLOGGERS AND WRITERS.WE USED TO MEET TOGETHER AS ARTISTS REGARDLESS OF WHETHER THEY WERE GOSPEL OR SECULAR ARTISTS, EAT AND MAKE STORIES AND LAUGH TOGETHER." Alinena.

Msanii huyo alisema kuwa wasanii wanapaswa kuwa wanyenyekevu na wapendane ili wasonge na mbele katika sanaa hii ya usanii.

Aliwahimiza kuwa watafute jambo lingine la kufanya mbali wasitegemee muziki pekee.

"ARTISTS SHOULD LOOK FOR SOMETHING ELSE TO DO ASIDE FROM MUSIC BECAUSE MUSIC IS NOT EASY. I WASN’T READY TO DO MUSIC LAST YEAR AND IF I DID, I WOULD HAVE DONE IT WITH SO MUCH STRESS AND MAYBE WOULD HAVE ENDED UP GETTING DEPRESSION." Nyota Aliongea.

Lakini alienda wapi? habari njema nikuwa mwaka huu anakuja kwa mpigo

"I’LL NOT KEEP QUIET THE WAY I USED TO RELEASE ONE SONG THEN GO SILENT.I HAVE ALMOST FIVE VIDEOS THAT I’M PLANNING TO RELEASE AFTER EVERY TWO OR THREE MONTHS." Alisema.

Wimbo wa kwanza atakaoutoa unwahimiza watu ambao walivunjwa mioyo walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi kisha wakasema hawatawahi penda tena.