NA NICKSON TOSI
Shughuli ya kutafuta miili ya maafisa waliosombwa na mafuriko katika kaunti ya Baringo imeng'oa nanga katika mtoo Kagir.
Kufikia sasa miili 3 kati ya sababu iliyozama imepatikana .
tazma picha hizi
Maafisa hao wa usalama walisombwa na mafuriko hayo walipokuwa katika harakati za kulinda usalama.