‘My loyal pumpkins.’ Diamond aposti video ya Zari na wanawe

Zari-Diamond-696x418
Zari-Diamond-696x418
Je msanii Diamond Platnumz ana mpango wa kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa kitambo Zari Hassan? Ni swali ambalo wengi wanajiuliza kila kuchao baada ya wawili hao kutatua shida zoa awali.

Diamond aliposti video ya Zari na wanawe wawili kwenye mitandao ya kijamii huku wakicheza na mama yao.

"MY LOYAL PUMPKINS ❤😊❤ @PRINCESS_TIFFAH @PRINCENILLAN." Aliandika Diamond.

https://www.instagram.com/p/CAFwSzYJeaD/

Diamond na Zari hawajakuwa katika uhusiano mzuri baada ya Zari kumuacha mwaka wa 2018, Februari. Msanii huyo ametembelea wanawe mara mbili tangu siku hiyo.

Baada ya Zari kumtema Diamond, alimpa block kwenye mtandao wa kijamii na hata familia yake.

Diamond aliacha kuwasalimia wanawe, habari hizo zilichipuka baada ya Zari kuandika kwenye mtandao wake wa kijamii kuwa baba wa watoto wake ni deadbeat father.

Msanii huyo akiwa kwenye mahojiano alisema kuwa amekuwa akizungumza na watoto wake kupitia kwa mawakili wao.

Baada ya mashabiki, marafiki na hata familia kuona video hiyo walikuwa na haya ya kusema kwa mshangao;

_esmaplatnumz Kizungu km cha Aunty yao Esma 🤣

uncle_shamte English ya mkewangu kabisaaa @mama_dangote wajukuu wanakuiga kuongea jamani

mama_dangote @uncle_shamte Umeona eeh si unajua maji hufata mkondo hayawezi potea njia Mume wangu

professorjaytz ❤❤❤

bizz_updates Furaha katika nyumba cku zote ni watoto….Mungu bariki familia zote,Mungu bariki watoto🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️

ricardomomo Kumbe Ndio Mana Wazungu Baba Mdogo Wakamuita Uncle..!!😊

sharifa3728 Rahaa 😘😘😘zari analea watoto vizuri mpaka anauziii utazani vitoto vya kimarecani hivi vitoto mpaka raha kuviangalia 😍😍huwa mda wangu wote naupoteza kwa tiffah 😆😆😆

moccku Do not start this again😅😅😅soon they will do a video of how their dad disappears and reappears😅😅