'Ulifanya uamuzi bora kumuacha.' Mazungumzo kati ya Otile Brown na mpinzani wa Vera Caroline yaibuka

Baada ya Vera Sidika kumtema msanii wa bongo Otile Brown yaonekana kuwa Otile amepata kipenzi cha roho yake queen Caroline Brooks ambaye ametoka nchini Dubai.

Caroline alimpa Vera bonge la jibu na dawa yake mwenyewe kupitia kwa wakosoaji wake Vera huku akiwaita kuwa wao ni wakulima na waombaji.

Alifichuwa kuwa Vera aliachana na Otile kwa maana yeye mwenyewe alikuwa sumu.

"YOUR MAN LEFT BECAUSE YOU ARE TOXIC AND DISRESPECTFUL. HE’S SUCH A NICE GUY AND YOU NEVER DESERVED A NICE GUY AND YOU NEVER DESERVED HIM. DON’T WORRY SWEETIE. I’LL SHOW HIM HOW A REAL WOMAN TREATS A MAN." Aliandika.

Caroline ana mpango wa kuja nchini na amemchagua Otile kuwatumbuiza watu katika hafla yake. Caroline na Otile walikuwa na mazungumzo na haya hapa mazungumzo yao.

"HE AND I TALKED ABOUT PHILANTHROPY AND CHARITY AND SO MANY WONDERFUL THINGS WE WOULD LIKE TO DO FOR THE KENYAN YOUTH. WE WANNA PICK THEM UP AND MAKE THEM RISE NOT KNOCK THEM DOWN AND CALL THEM BEGGARS. HIS VOICE IS SO BEAUTIFUL I COULD LISTEN TO HIM SING ALL DAY. HE’S HUMBLE AND KIND, TWO THINGS YOU [VERA] ARE NOT. BEST DECISION THAT MAN MADE WAS LEAVING YOU! HE AND I WILL DO GREAT THINGS TOGETHER. ENJOY SELLING YOUR SYRUPS ON INSTAGRAM."