Tanzia:Msanii Guardian Angel aomboleza kifo cha babu yake

Msanii wa nyimbo za injili Gaurdian Angel almaarufu Music Doctor anaomboleza kifo cha babu yake. Kupitia kwenye posti  aliyoandika kwenye mitandao ya kijamii akitangaza kifo chake alisema kuwa ndiye aliyemlea tangu utotoni na alikuwa kama baba yake.

Pia Angel alifichua kuwa wiki mbili zilizopita aliagiza anunuliwe nguo atakazozikwa nazo siku atafariki, kumbe hakujua wakati umewadia.

Kulingana na Angel, babu yake alienda kujichagulia nguo au suti mwenyewe, pia alisema kuwa babu yake alikuwa mgonjwa kwa siku moja na siku iliyofuatia akaaga dunia.

“My Guka my grandfather/ FATHER thank you for raising me like your own son. 2 weeks ago you said you want a good outfit to be buried in when you Rest.

You went to the shop and selected this particular one. You were so excited, I dint know it was going to be this soon. Only 2 weeks Baba 🙆‍♀️ you fall sick one day and the next day you are gone???!!! IT IS WELL. REST WITH ANGELS 🙏🙏." Alizungumza.

Mashabiki na marafiki walituma risala za rambirambi zao;

: It is well 😊 take heart

: My sincerest condolences to you and your family 🙏🙏

: Izah bro man may he rest in peace

: May God comfort you and your family. RIP Guka

Pole sana.....my condolences to you and the family....

It is well Guardian,let grandpa rest in Jesus

My heartfelt condolences,may his soul rest in eternal peace. Take heart G man

Take heart bro 💔💯💙 it is well with your soul ..prayers all the way

Take heart and let guka rest in peace

Take heart uncle gman, may he rest in peace

May he R.I.P. I hope that our Lord brings you and your family the much-needed peace during this sad time. My condolences to you and your family🙏🏽.

Deepest condolences, may Guka rest in power 💔🙏

Kutoka kwetu wana jambo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.