Don't hurt us dear crush,'Mashabiki wamwambia msanii Nyashinski baada ya kuposti video hii

Msanii Nyamari Ongegu almaarufu Nyashanski, kwa mara ya kwanza aliposti video akiwa na mkewe Zia Bett. Si rahisi kwa msanii huyo kuposti picha au video pamoja na mkewe.

Ni video ambayo iliwashangaza mashabiki wake wengi kwa maana hawajawahi ona akiposti picha wala video na mkewe, baada ya kuposti video hiyo aliandika ujumbe mfupi,

"Social distancing ni wewe."

https://www.instagram.com/p/CCjDaYKhpaa/

Mashabiki wake walipendezwa na video yake huku mashabiki wa kike wakisikitika sana, wengi walisema kuwa ameumiza hisia zao kwa maana wanampenda.

Hizi hapa baadhi za hisia za mashabiki wake;

: When you watch your mental entanglement with the love of their life...machoos .... looking cute 😍

: Ata hatujaskia vibaya😩😂

 :Waaah live live. You don’t care about my feelings ? Cool

: Social distancing muhimu😅😅😅

: Hayawani no noma na zingineeeeeeey role model

: Walahi this is painful 😂. Don't hurt us Dear Krash!

: Upper class hawana social distancing😂

: kuna warembo wataacha kuvaa mask after kucheki hii😂😂😂

: Hio munju uliharakisha sana

Weeeh leo kutanyesha baaaaas😍👏

♥️such a lovely Couple

Shinski alipata Jiko. Na hizi stove za mtaa joh, mafuta hazina🤭

Walitaka usioe, wewe unataka tu usinyoe

Malaika ananishow mmeweka mapenzi juu😮😮

this is painful😭my heart is breaking