'Siasa itafanya upoteze sauti bure,'Babu Owino amwambia Otile Brown baada ya kuona bango hili

Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino ameandika hisia zake baada ya kuoona bango la msanii wa bongo Otile Brown la uhaniaji kiti cha ubunge Cha Embakasi mwaka wa 2022.

: Hata wewe Ni mrembo na ulitoboa ,otile riaaa
King rony: So illiterate of you to comment such on someone's ambition, do you think you own Embakasi East Constituency it will end in tiyaaas

Wewe, achana na Otile. This is going to be an interesting 🧐 one. No bullying or shooting boss!

Si yeye ni binadamu mweupe kama wewe - so anaweza tu