Mfupa ulioshindikana kwa simba panya utaweza? Mashabiki wamuonya Brown Mauzo kumchumbia Vera Sidika

Vera-and-Brown-Mauzo-696x418
Vera-and-Brown-Mauzo-696x418
Mashabiki kwenye mitandao ya kijamii walipata mjadala wa kujadiliana na kutoa maoni yao baada ya mwanabiashara Vera Sidika kufichua uhusiano wake wa kimapenzi na msanii Brown Mauzo.

Wawili hao wamekuwa wakiposti video wakiwa pamoja na kufurahia mapenzi yao,mashabiki wengi walimuonya msanii huyo huku wakisema mwisho wa penzi lao atakuja kupewa aibu na mwanasosholaiti huyo.

Wengi pia walisema kuwa uhusiano wao hautadumu huku wengi wakibaki na maswali mengi na kusema kuwa Mauzo alikuwa na mpenzi wake na aliena wapi.

https://www.instagram.com/p/CFEud6mJqb5/

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki wengi;

lizy_saha Mfupa ulio shindikana kwa simba wewe panya utaweza??

santasansey Wataachana tu….Amber ametemwa😂

miss_khayubia 😂😂😂😂Brown si alikua na Amberay juzi

anzall24 It will end in tears.

angelomontana Ata Offset na Cardi B waliachana hi nayo ni kalongolongo tu 😂😂

bush_master 😂 😂 😂 Vera na hawa browns… Next ni Chris Brown

legit_afrikn Ataambiwa akona nini ndogo 😂😂let’s wait for the drama 😂😂😂😂😂😂

damnit.kitaa Aish Vera ameamua ni Otile 2.0

alexerkeyz 😂😂😂 uyo Mauzo ataachwa mchana tukiona😂😂🙌

wiko_Vera ana penda tu ma BROWN💀 Otile… tana sasa ni ….MAUZO💀

baby_ras Huyo mauzo si alikua wa Amberray juzi ai.

wambovic Hope yako sio kama ya Otile juu utaaibishwa dunia mzima

cynthiakimanyim Sisi kama Kamati ya Rohan chafu 😂😂 Mtaachana tu 😂

agrippina_pinnah And the drama continues😂😂

Kwa kweli uhusiano wao haujapokelewa vyema na mashabiki wengi.