Uhuru amteua Lukoye Atwoli kuwa mwenyekiti wa bodi ya hospitali ya Mathari

Muhtasari
  • Mwanawe Francis Atwoli kuwa mwenyekiti wa bodi ya hospitali ya Mathari

Rais Uhuru Kenyetta amemteua Profesa Lukoye Atwoli kuwa mwenyekiti wa bodi ya hospitali ya Mathari.

Lukoye ni mwanawe mkuu wa wafanyakazi Francis Atwoli na atakuwa kwenye uongozi wa bodi ya hospitali ya rufaa ya Mathari  kwa muda wa miaka mitatu.

Haya yanajiri baada ya Uhuru kumpa kazi aliyekuwa kamishna wa IEBC.

 

Mengi yafuata;