Mfanyabiashara Chris Kirubi ameaga dunia familia yathibitisha

Muhtasari
  • Mwanabiashara Chris Kirubi ameaga dunia familia yathibitisha
Chris-Kirubi
Chris-Kirubi

Mfanyabiashara maarufu wa Nairobi Chris Kirubi ameaga dunia.

Kwa mujibu wa familia, Kirubi, ambaye amekuwa akipigana ugonjwa wa saratani kwa muda mfupi, aliaga dunia siku ya JUmatatu.

Kirubi ameaga dunia akiwa na miaka 80.

Mengi yafuata;