Rais Kenyatta ameteua Francis Wanderi, Justus Abonyo, Juliana Cherera na Irene Cherop kuwa makamishna wa IEBC

Muhtasari
  • Orodha ya walioteuliwa na rais Uhuru kuwa makamishna wa IEBC

Rais Uhuru Kenyatta ameteua Francis Wanderi, Justus Abonyo, Juliana Cherera, na Irene Cherop kuwa makamishna wa IEBC.

Rais aliwasilisha majina ya wanne  hao spika kwa Ken Lusaka ili awasilishe kwa Bunge kwa uhakiki na idhini ya wabunge mnamo Alhamisi.

Makamishna hao watahakikiwa na Kamati ya Haki na Maswala ya Bunge ya Bunge inayoongozwa na Mbunge wa Kangema Muturi Kigano.

Wanne hao watachukua nafasi ya Roselyn Akombe, Margaret Mwachanya, Paul Kurgat, na Makamu Mwenyekiti wa zamani Consolata Maina ambaye alijiuzulu kutoka kwa tume hiyo.

Mengi yafuata;